HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

September 23, 2019

CHUO KIKUU MZUMBE CHAWAPA NONDO WANORWAY KUHUSU BIASHARA

 Wanafunzi wa Shule ya Biashara Norway 'Bl Norwegian School of Business’ wakiwasili Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam kwa ajili ya kupata mafunzo kuhusiana na mazingira ya biashara nchini Tanzania.

 Wanafunzi wakifuatilia nondo za Prof. Ngowi kuhusu uchumi na biashara.
 Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam, Prof. Honest Ngowi, akitoa mafunzo kwa wanafunzi wa Shule ya Biashara Norway 'Bl Norwegian School of Business’ kuhusiana na mazingira ya biashara nchini Tanzania, mafunzo hayo yalifanyika leo chuoni hapo jijini Dar es Salaam.

Picha ya Pamoja.

No comments:

Post a Comment

Pages