HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 20, 2019

RAIS DKT MAGUFULI AFANYA UTEUZI NA MABADILIKO YA VIONGOZI MBALIMBALI LEO

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akisoma majina ya viongozi mbalimbali walioteuliwa ama waliobadilishwa vituo na  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam leo Septemba 20, 2019. (Picha na Ikulu).

No comments:

Post a Comment

Pages