HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 22, 2019

RAIS DKT MAGUFULI ATOA SHILINGI MILIONi 10 KUISAIDIA TIMU YA TAIFA YA SOKA YA WALEMAVU (TEMBO WARRIORS) KUSHIRIKI MASHINDANO YA AFRIKA NCHINI ANGOLA MWEZI UJAO



Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akiongea machache mbele ya wachezaji na viongozi wa Timu ya Soka ya Taifa ya Soka ya Walemavu TEMBO WARRIORS kabla ya kukaikabidhi timu hiyo msaada wa shilingi milioni 10 uliotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuisaidia timu hiyo kushiriki kwenye mashindano ya mpira wa miguu kwa watu wenye ulemavu Afrika (CANAF) yaliyopangwa kuanza Oktoba 1, mwaka huu huko nchini Angola kwenye hafla fupi iliyofanyika katika Studio zaShirika la Utangazaji la Taifa (TBC) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Septemba 22, 2019.

Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akimkabidhi Rais wa Shirikisho la Soka la Watu Wenye Ulemavu Tanzania (TAFF) Shilingi Milioni 10 taslimu mbele ya wachezaji na viongozi wa Timu ya Soka ya Taifa ya Soka ya Walemavu TEMBO WARRIORS ukiwa ni msaada uliotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuisaidia timu hiyo kushiriki kwenye mashindano ya mpira wa miguu kwa watu wenye ulemavu Afrika (CANAF) yaliyopangwa kuanza Oktoba 1, mwaka huu huko nchini Angola kwenye hafla fupi iliyofanyika katika Studio za Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Septemba 22, 2019.

Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akiongea baada ya kumkabidhi rais wa Shirikisho la Soka la Watu Wenye Ulemavu Tanzania (TAFF) Bw. Peter Sarungi Shilingi Milioni 10 taslimu mbele ya wachezaji na viongozi wa Timu ya Soka ya Taifa ya Soka ya Walemavu TEMBO WARRIORS ukiwa ni msaada uliotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuisaidia timu hiyo kushiriki kwenye mashindano ya mpira wa miguu kwa watu wenye ulemavu Afrika (CANAF) yaliyopangwa kuanza Oktoba 1, mwaka huu huko nchini Angola kwenye hafla fupi iliyofanyika katika Studio za Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC)Mikocheni jijini Dar es salaam leo Septemba 22, 2019.

Katibu Mkuu wa Tanzania Paralympic Committee Tuma Dandi ambaye pia ni mwanahabari wa TBC baada ya Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike kumkabidhi Rais wa Shirikisho la Soka la Watu Wenye Ulemavu Tanzania (TAFF) Shilingi Milioni 10 taslimu mbele ya wachezaji na viongozi wa Timu ya Soka ya Taifa ya Soka ya Walemavu TEMBO WARRIORS ukiwa ni msaada uliotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuisaidia timu hiyo kushiriki kwenye michezo ya dunia nchini Angola baadaye mwaka huu kwenye hafla fupi iliyofanyika katika studio za Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) Mikocheni jijini Dar es Salaam leo Septemba 22, 2019.

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Bw. Gerson Msigwa akiongea machache baada ya Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike kumkabidhi Rais wa Shirikisho la Soka la Watu Wenye Ulemavu Tanzania (TAFF) Shilingi Milioni 10 taslimu mbele ya wachezaji na viongozi wa Timu ya Soka ya Taifa ya Soka ya Walemavu TEMBO WARRIORS ukiwa ni msaada uliotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuisaidia timu hiyo kushiriki kwenye mashindano ya mpira wa miguu kwa watu wenye ulemavu Afrika (CANAF) yaliyopangwa kuanza Oktoba 1, mwaka huu huko nchini Angola kwenye hafla fupi iliyofanyika katika Studio za Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) Mikocheni jijini Dar es Salaam leo Septemba 22, 2019.

Wachezaji wa wachezaji na viongozi wa Timu ya Soka ya Taifa ya Soka ya Walemavu TEMBO WARRIORS akifurahia baada ya Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike kumkabidhi Rais wa Shirikisho la Soka la Watu Wenye Ulemavu Tanzania (TAFF) Shilingi Milioni 10 taslimu mbele yao ukiwa ni msaada uliotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuisaidia timu hiyo kushiriki kwenye mashindano ya mpira wa miguu kwa watu wenye ulemavu Afrika (CANAF) yaliyopangwa kuanza Oktoba 1, mwaka huu huko nchini Angola kwenye hafla fupi iliyofanyika katika studio za Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) Mikocheni jijini Dar es Salaam leo Septemba 22, 2019.
Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Bw. Gerson Msigwa katika picha ya pamoja na Rais wa Shirikishola Soka la Watu Wenye Ulemavu Tanzania (TAFF) Bw. Peter Sarungi, wachezaji na viongozi wa Timu ya Soka ya Taifa ya Soka ya Walemavu TEMBO WARRIORS na wafanyakazi wa TBC Kitengo cha Michezo na viongozi wa Shirika baada ya kukabidhi msaada wa shilingi milioni 10 uliotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuisaidia timu hiyo kushiriki kwenye mashindano ya mpira wa miguu kwa watu wenye ulemavu Afrika (CANAF) yaliyopangwa kuanza Oktoba 1, mwaka huu huko nchini Angola kwenye hafla fupi iliyofanyika katika studio za Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Septemba 22, 2019. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

Pages