HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 29, 2019

WANAWAKE WATAKIWA KUGOMBEA NAFASI ZA UONGOZI KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA ILI KUTOA MCHANGO KATIKA MAENDELEO YA TAIFA

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akizungumza na wanachama wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) (hawapo pichani) wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) yaliyofanyika wilayani Newala.
 Baadhi ya wanachama wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wilayani Newala wakimsiliza Mgeni Rasmi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (Mb) wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) yaliyofanyika wilayani humo.
 Mkuu wa Wilaya ya Newala, Mhe. Aziza A. Mwangosongo akizungumza na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wilayani Newala wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) yaliyofanyika wilayani humo jana na kuwahimiza wananchi kufanya maandalizi mapema ya kuwanunulia vifaa vya shule watoto waliohitimu darasa la saba.
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Bi. Zainabu Msuweta akimshukuru Mhe. Mkuchika kwa nasaha zake wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wilayani Newala yaliyofanyika jana.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (Mb) (aliyesimama mbele) akiwahimiza wanawake nchini kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 24 Novemba, 2019.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akimkabidhi kadi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mmoja wa wananchi aliyejiunga na CCM akitokea chama cha upinzani.

No comments:

Post a Comment

Pages