HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 02, 2019

CHUO KIKUU MZUMBE WATOA MAFUNZO KUHUSU PENSHENI KWA WAZEE

Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam wameungana na wazee katika maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani ambapo wazee viongozi wastaafu kutoka kikundi cha Umoja Youth Aids Controled Community Development (UYACODE) kwa kutoa mafunzo ya  kuhusu pensheni kwa wazee Dk. Andrew Mushi, Masoko na Ujasiliamali Bw. Yusuph Zuberi (mwanafunzi wa Masomo ya Masoko), mada nyingine ni Uongozi imetolewa na Dk. Faisal Issa, Fedha na mitaji Dk. Seif Muba. Kauli Mbiu:Tuimariashe Usawa Kuelekea Maisha ya Uzeeni
Mwenyekiti  wa Vikoba Makao Makuu, Elizaberth Nchimbi.
Mwenyekiti wa kikundi cha UYACODE , bibi Agnes Magula.
Mkuu wa Idara ya Kozi Fupi, Tafiti na Shauri za Kitaaluma, Dk. Faissl Issa, akifungua mafunzo ya siku mmoja kwa wastaafu wa kikundi cha Umoja Youth Aids Controled Community Development (UYACODE) yaliyoandaliwa na chuo kikuu mmxumb Kampasi ya Dar Es Salaam katika maadhimidho ya siku ya wazee duniani oktoba 1, 2019.






No comments:

Post a Comment

Pages