Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na
wanawake waliokuwa wakibangua korosho wakati alipotembelea kiwanda cha
kubangua korosho cha Yalin cha Mtwara, Oktoba 2, 2019. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanawake waliokuwa
wakibangua korosho wakati alipotembelea kiwanda cha kubangua korosho cha
Yalin kilichopo Mtwara, Oktoba 2, 2019. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa
Mtwara, Gelasius Byakanwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment