Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dk. Maulid Madeni aliyeinama akifuta machozi wakati Meya wa
jiji hilo aliyejiuzulu, Calist Lazaro, akizungumza na watumishi
wa halmashari hiyo wakati wakimuaga Lazaro aliyejiuzulu Novemba 19,
mwaka huu. (Picha na Grace Macha).
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dk. Maulid Madeni, akizungumza na waandishi wa
habari ofisini kwake juu ya uamuzi wa kuwasimamisha wakuu wawili wa
idara. (Picha na Grace Macha).
No comments:
Post a Comment