HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 22, 2019

RAIS DKT MAGUFULI AWEKA MAWE YA MSINGI KATIKA MIRADI YA HOSPOITALI YA UHURU, SOKO KUU, NYUMBA ZA POLISI NA STENDI KUU YA MABASI JIJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Dodoma(hawaonekani pichani) ndani ya Kituo Kikuu cha Mabasi cha Dodoma mara baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Kituo hicho. 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo toka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe. Selemani Jafo kuhusiana na Ujenzi wa Hospitali Kuu ya Uhuru inayojengwa maeneo ya Chamwino jijini Dodoma alikoiwekea jiwa la msingi leo. Ujenzi wa Hospitali hiyo umewezekana baada ya Rais Magufuli kuelekeza kiasi cha Shilingi Milioni 995.18 ambazo zilipangwa kutumika kwenye maadhimisho ya siku ya Uhuru mwaka jana zipelekwe kwenmye ujenzi wa hospitali hiyo ya kisasa. 
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe. Job Ndugai akifunua pazia kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali Kuu ya Uhuru inayojengwa maeneo ya Chamwino jijini Dodoma alikoiwekea jiwa la msingi leo Ujenzi wa Hospitali hiyo umewezekana baada ya Rais Magufuli kuelekeza kiasi cha Shilingi Milioni 995.18 ambazo zilipangwa kutumika kwenye maadhimisho ya siku ya Uhuru mwaka jana zipelekwe kwenmye ujenzi wa hospitali hiyo ya kisasa.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipekeana mikono na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe. Job Ndugaio baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali Kuu ya Uhuru inayojengwa maeneo ya Chamwino jijini Dodoma alikoiwekea jiwa la msingi leo. Ujenzi wa Hospitali hiyo umewezekana baada ya Rais Magufuli kuelekeza kiasi cha Shilingi Milioni 995.18 ambazo zilipangwa kutumika kwenye maadhimisho ya siku ya Uhuru mwaka jana zipelekwe kwenmye ujenzi wa hospitali hiyo ya kisasa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipekeana mikono na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Ally Mwalimu  baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali Kuu ya Uhuru inayojengwa maeneo ya Chamwino jijini Dodoma alikoiwekea jiwa la msingi leo. Ujenzi wa Hospitali hiyo umewezekana baada ya Rais Magufuli kuelekeza kiasi cha Shilingi Milioni 995.18 ambazo zilipangwa kutumika kwenye maadhimisho ya siku ya Uhuru mwaka jana zipelekwe kwenmye ujenzi wa hospitali hiyo ya kisasa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelekezo ya maendeleo ya ujenzi  kwa Mkuu wa JKT Brigedia Jenerali Charles Mbuge  baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali Kuu ya Uhuru inayojengwa maeneo ya Chamwino jijini Dodoma alikoiwekea jiwa la msingi leo Ujenzi wa Hospitali hiyo
umewezekana baada ya Rais Magufuli kuelekeza kiasi cha Shilingi Milioni 995.18 ambazo zilipangwa kutumika kwenye maadhimisho ya siku ya Uhuru mwaka jana zipelekwe kwenmye ujenzi wa hospitali hiyo ya
kisasa.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa maelekezo maelekezo kwa Mkuu wa JKT Brigedia Jenerali Charles Mbuge  na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch. Daud Kondoro baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali Kuu ya Uhuru inayojengwa maeneo ya Chamwino jijini Dodoma alikoiwekea jiwa la msingi leo Ujenzi wa Hospitali hiyo umewezekana baada ya Rais Magufuli kuelekeza kiasi cha Shilingi Milioni 995.18 ambazo zilipangwa kutumika kwenye maadhimisho ya siku ya Uhuru mwaka jana zipelekwe kwenmye
ujenzi wa hospitali hiyo ya kisasa.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Inspekta Jenerali wa Polisi Simon Sirro akiwasili  eneo la Nzuguni jijini Dodoma Leo Tayari kuweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Nyumba za makazi ya Askari Polisi.
 p2: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. John Pombe Magufuli akipata Maelezo  ya maendeleo ya Ujenzi wa Nyumba za makazi ya Askari Polisi eneo la Nzuguni jijini Dodoma.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Inspekta Jenerali wa Polisi Simon Sirro akifunua pazia kuashiria uwekaji wa  jiwe la Msingi la Ujenzi wa Nyumba za makazi ya Askari Polisi eneo la Nzuguni jijin Dodoma Leo.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Inspekta Jenerali wa Polisi Simon Sirro baada ya kweka  jiwe la Msingi la Ujenzi wa Nyumba za makazi ya Askari Polisi
eneo la Nzuguni jijin Dodoma Leo.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola baada ya kweka  jiwe la Msingi la Ujenzi wa Nyumba za makazi ya Askari Polisi eneo la Nzuguni jijin Dodoma Leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. John Pombe Magufuli akikagua moja ya Nyumba za makazi ya askari baada ya kuweka  jiwe la Msingi la Ujenzi wa Nyumba za makazi ya Askari Polisi eneo la Nzuguni jijini Dodoma leo. Pamoja naye ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani Meja Jenerali Jacob Kingu na IGP Simon Sirro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. John Pombe Magufuli baada ya kuweka  jiwe la Msingi la Ujenzi wa Nyumba za makazi ya Askari Polisi eneo la Nzuguni jijini Dodoma leo ametoa jengo kwa ajili ya Makao Makuu na kukabidhi nyaraka za jengo hilo kwa  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola na IGP Simon Sirro.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma Mhe. Godwin Kunambi akitoa Maelezo kuhusiana na maendeleo ya Ujenzi wa Soko kuu la jiji la Dodoma ambalo litaitwa Soko Kuu la (Spika wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Job Ndugai eneo la Nzuguni.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifunua kitambaa kuweka jiwe la Msingi la  Ujenzi wa Soko kuu la jiji la Dodoma ambalo litaitwa Soko Kuu la (Spika wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Job Ndugai eneo la Nzuguni.
 Muonekano wa  Soko Kuu la (Spika wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Job Ndugai eneo la Nzuguni jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiondoka baada ya kuweka jiwe la Msingi la  Ujenzi wa Soko kuu la jiji la Dodoma ambalo litaitwa Soko Kuu la (Spika wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Job Ndugai eneo la Nzuguni jijini Dodoma leo. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

Pages