Mrajisi Msaidizi wa Mkoa wa Singida, Thomas Nyambo (katikati) akifungua kikao cha wadau walioliwezesha zao la alizeti katika mkoa huo kilichoandaliwa na Chama Kikuu cha Ushirika cha Wakulima Mkoa wa Singida (SIFACU LTD). Kulia ni Mwenyekiti wa SIFACU LTD, Hamis Rajab na Meneja Mkuu wa Kampuni ya Faida Mali (Faida Market Link Company), Tom Sillayo.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Faida Mali (Faida Market Link Company), Tom Sillayo, akizungumza katika kikao hicho.
Wadau wa kilimo cha alizeti wakiwa kwenye kikao hicho.
Meneja wa Tawi la Benki ya NBC Mkoa wa Singida, Thomas Lijaji akizungumza kwenye kikao hicho namna benki hiyo ilivyoboresha huduma zake, hususani huduma zote za vikundi zinatolewa bure.

Wadau wa kilimo cha alizeti wakiwa kwenye kikao hicho.Wadau wa kilimo cha alizeti wakiwa kwenye kikao hicho.

Viongozi wakiwa meza kuu.
Meneja Mkuu wa SIFACU LTD, Ramadhan Sephu akizungumza kwenye kikao hicho.
Mwenyekiti wa SIFACU LTD, Hamis Rajab, akizungumza kwenye kikao hicho.
Mwakilishi wa Kampuni ya Pyxus, Dickson Kilonzo akichangia jambo kwenye kikao hicho.
Meneja wa Kampuni ya Faida Mali (Faida Market Link Company), Mkoa wa Singida, Chistopher Mkondya, akizungumza kwenye kikao hicho.

No comments:
Post a Comment