HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 04, 2019

KONGAMANO LA SABA LA WATAFITI WA ELIMU LAFANYIKA DAR

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako, akipokelewa na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Agakhan kwa upande wa Tanzania, Prof. Joe Lugalla, wakati wa hafla ya uzinduzi wa kongamano la saba la watafiti wa elimu ya awali lililofanyika leo Desemba 4, 2019 jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Agakhan kwa upande wa Tanzania, Prof. Joe Lugalla (kushoto), akimtambulisha Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako, kwa wadau waliohudhuria kongamano hilo.
Professa wa Chuo Kikuu cha Agakhan, Shelina Nawaz, akizungumza katika Kongamano la Saba la Watafiti wa Elimu.
Mkuu wa Utafiti  Chuo Kikuu cha Agakhan Tanzania, Prof. Fredrick Mfenzi, akizungumza katika kongamano la kimataifa la watafiti lililofanyika jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Agakhan kwa upande wa Tanzania, Prof. Joe Lugalla, akizungumza katika kongamano la saba la kimataifa la watafiti wa elimu ya awali.
Baadhi ya washiriki wa kongamano hilo.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako, akitoa hotuba yake wakati akifungua rasmi kongamano la kimataifa la saba la watafiti wa elimu ya awali lililofanyika leo Desemba 4, 2019 jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako, akitoa hotuba yake wakati akifungua rasmi kongamano la kimataifa la saba la watafiti wa elimu lililofanyika leo Desemba 4, 2019 jijini Dar es Salaam. 
Mgeni rasmi akiwa katika picha ya kumbukumbu.
Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Pages