MWAKA mpya 2020 utakaribishwa kwa namna yake kwa burudani ya kutosha ikijumrisha mkusanyiko wa vitu mbalimbali katika Baa ya Rock City iliyopo Ubungo Maziwa, iliyopo urefu wa mita mita 400 kutoka stendi kuu ya Ubungo.
Ukiacha
muziki mzuri kutoka kwa Ma DJ wazoefu waliopo ‘Rock City’pia utaalamu katika
mapishi ya vyakula mbalimbali ndani ya jiko la Baa hiyo ni kivutio kingine cha pekee katika kuipamba sherehe hiyo muhimu ya kumaliza Mwaka 2019 na
kuukaribisha Mwaka 2020.
Mballi na
hayo wateja wa ‘Rock City’ siku hiyo watakutana na ‘Surprize’ ya kipekee hasa kwa wapendwa ‘Couple’ itakayopendeza
zaidi ikiwemo kupewa ‘Bucket’ ya bure vinywaji wanavyotumia na hivyo kuwafanya kuuanza mwaka mpya wakiwa
na bahati ya kipekee.
Njoo
ushuhudie mandhari nzuri yenye hewa safi, Lounge ya nguvu lakini pia parking
yenye usalama wa kutosha ikisindikizwa na uwepo wa ‘Car Wash’ bora
itakayoufanya usafiri wako kuonekana kama umepokelewa leo bandarini.
Njoo upate
vinywaji vya kila aina na mambo mengine mengi mazuri huku tukishuhudia matukio
mbalimbali yatakayokuwa yakiendelea duniani kupitia Screen kubwa ikijumuishwa
na Projector iliyofungwa mahali hapo.
Ukihitaji
malazi, pia ‘Rock City’ inakusogeza karibu na watoa huduma nzuri za kulala kwa
bei rafiki sambamba na ulinzi wa kutosha wa mali zako…
Njooni nyote
tuusheherekee Mkesha wa Mwaka mpya wa 2020 sambamba na siku yenyewe ya Mwaka
mpya
No comments:
Post a Comment