HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 28, 2019

SIMBA YAINYOOSHA KMC 2-0

 Winga wa Simba Hassan Dilunga (katikati),akitafuta mbinu zakuwatoka wachezaji wsa KMC FC,katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliochezwa Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam leo. (Picha na John Dande).
 Beki wa Simba Haruna Shamte akimtoka beki wa KMC FC, Ally Ramadhani, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliochezwa Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam leo.
 Wachezaji wa Simba wakimpongeza winga wa timu hiyo Deo Kanda,baada ya kuifungia baol la kwaza timu yake dhidi ya KMC FC, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliochezwa Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam leo.

Kiungo wa Simba Gerson Fraga, akishangilia bao lake aliliofunga dhidi ya KMC FC, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliochezwa Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam leo.Simba imeshinda 2-o

No comments:

Post a Comment

Pages