Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Mhandisi, Profesa Zacharia
Mganilwa, akitoa taarifa ya utendaji ya chuo hicho kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, wakati wa uzinduzi wa Baraza la Uongozi la 11 la chuo hicho jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Mhandisi, Profesa Zacharia Mganilwa, akitoa taarifa ya utendaji ya chuo hicho kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, wakati wa uzinduzi wa Baraza la Uongozi la 11 la chuo hicho jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Utawala na Menejimenti ya Rasilimali Watu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi), Kaimu Katibu Mkuu Uchukuzi, CireysonMwaigumbe, akizungumza katika uzinduzi huo.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, akizungumza wakati wa uzinduzi wa Baraza la Uongozi la 11 la chuo hicho jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti Mpya wa Baraza la Uongozi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Mhandisi Prof. Bavo Nyichomba akipokea vitendea kazi kutoka kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, mara baada ya kuzindua rasmi baraza hilo leo Desemba 21, 2019. jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti Mpya wa Baraza la Uongozi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Mhandisi Prof. Bavo Nyichomba, akiangalia kwa makini vitendea kazi alivyokabidhiwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwele.
Mwenyekiti Mpya wa Baraza la Uongozi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Mhandisi Prof. Bavo Nyichomba, akitoa hotuba fupi baada ya Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, kuzindua rasmi baraza hilo leo Desemba 21, 2019. jijini Dar es Salaam.

Picha ya kumbukumbu.
Na Mwandishi Wetu

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwele, leo
amezindua Baraza la Uongozi la 11 la Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT),
jijini Dar es Salaam.
Akizindua Baraza hilo Waziri Kamwelwe amewataka wajumbe wa Baraza hilo
kutekeleza majukumu yao kwa mujibu wa sheria ili kuisaidia Serikali katika
kuhakikisha chuo kinatekeleza vema majukumu yake.
“Chuo hiki ni cha Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na
kinatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa sheria ya Uanzishwaji wake (Na. 24 ya
mwaka 1982 (Sura 187 iliyofanyiwa marekebisho 2002) chini ya usimamizi wa
Baraza la Uongozi la Chuo kwa niaba ya Serikali. Hivyo mnalo jukumu la
kuisaidia Serikali katika kuhakikisha kuwa Chuo kinatekeleza vema majukumu
yake.
“Mkasimamie utekelezaji wa mpango Mkakati wa Tatu wa Maendeleo wa Chuo
(2015/16 – 2020/2021) ambao unaelekea mwisho.
“Mkasimamie utayarishaji wa Mpango Mkakati wa Chuo wa Nne utakao kidhi mahitaji
ya rasilimali watu kwenye sekta ya Uchukuzi na Usafirishaji wakati Serikali ya
Awamu ya Tano ikiendelea kujenga Uchumi wa Viwanda katika kulifikisha Taifa
kuwa na Uchumi wa Kati ifikapo 2025 kwa kutekeleza miradi mikubwa ya Kimkakati.”amesema
Kamwelwe.
Aidha Kamwelwe amelitaka Baraza hilo kuhakikisha Chuo kinazalisha wataalamu mahiri
wenye weledi watakaosimamia uendeshaji wa Makampuni ya Usafiri wa Barabara
ikiwa ni pamoja na Kampuni ya Mabasi yaendayo kwa haraka (Bus Rapid Transit -
BRT).
Akitoa Tarifa ya Utendaji ya Chuo Mkuu wa Chuo Mhandisi, Profesa Zacharia
Mganilwa, amesema Chuo kimejipanga kutekeleza Malengo 11 kwa Mwaka wa Fedha wa
2019/20.
“Lengo la kwanza ni kuongeza mapato ya ndani kutoka Bilioni 14.5 hadi
Bilioni 14.8, pili ni kuhuisha mitaaala na kutengeneza mitaala mipya kulingana
na mahitaji ya soko, tatu ni kuajiri watumishi na kuwaendeleza kitaaluma.
“Kuanzisha Chuo cha Umahiri cha Mafunzo ya Usafiri wa Anga na Usafirishaji
ambacho kinafadhiliwa na Benki ya Dunia. Kuanzisha kituo cha Kikanda cha
Mafunzo ya Umahiri wa Usalama Barabarani.
“Sita tuko kwenye mkakati wa kukibadilisha Chuo kuwa Chuo Kikuu cha
Usafirishaji kwa ufadhili wa Rais wa China. Saba, Kulipa madeni ya mwaka
2015/16. Nane tunaenda kupitia mpango wa matumizi bora wa ardhi pale Mabibo kwa
matakwa ya kuwa Chuo Kikuu.
“Tisa kupanua chuo kwa kuongeza kampasi, ambapo tutakuwa na Kmapasi ya
Lindi, Kia Kilimanjaron lakini pia jijini Dodoma, pamoja na hayo tuko kwenye
mkakati wa kuanzisha kituo cha Utafiti kwa Usafiri wa Reli.”amesema Mganilwa.
No comments:
Post a Comment