Kocha wa Yanga, akiwa hoi baada ya timu yake kufungwa bao la tatu katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidio ya Kagera Sugar uliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo Januari 15, 2020.
Mshambuliaji
wa Yanga, Ditram Nchimbi, akimiliki mpira huku akizongwa na beki wa Kagera Sugar, Juma Nyoso, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania
Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam jana.
Kagera Sugar ilishinda 3-0. (Picha kwa hisani ya Shaffih Dauda).
No comments:
Post a Comment