Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa
Mtwara, Mhe. Gelasius Byakanwa mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa
Mtwara kwa ajili ya mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Newala Vijijini, Mhe. Rashid
Ajali Akbar
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akipokelewa na Wajumbe wa kamati
ya ulinzi na usalama Mkoa wa Mtwara mara baada ya kuwasili nyumbani kwa aliyekuwa
Mbunge wa Newala Vijijini, Mhe. Rashid Ajali Akbar kwa ajili ya mazishi
yaliyofanyika leo nyumbani kwake Newala Mjini.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisaini kitabu cha rambirambi ya
msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Newala Vijijini, Mhe. Rashid Ajali Akbar
nyumbani kwake Newala Mjini Mkoani Mtwara.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Newala Vijijini, Mhe.
Rashid Ajali Akbar nyumbani kwake Newala Mjini Mkoani Mtwara.
Wananchi Mbalimbali wakiwa katika mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa
Newala Vijijini Mhe. Rashid Ajali Akbar yaliyofanyika leo nyumbani kwake Newala
Mjini Mkoani Mtwara.
No comments:
Post a Comment