 |
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Edward Mpogolo (kushoto) akimkabidhi madawati Mwakilishi wa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Puma, Mwalimu Amani Kipandwa katika hafla iliyofanyika juzi. Wa pili kushoto anayeshuhudia makabidhiano hayo ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi, Justice Kijazi na kulia ni Diwani wa Kata ya Ikungi, Abel Nkuhi. |
 |
Wanafunzi wakiwa katika hafla hiyo ya kupokea madawati. |
Mkurugenzi wa halmashauri hiyo Justice Kijazi
akitoa taarifa fupi wakati wa hafla ya kukabidhi
madawati hayo.
 |
Makabidhiano ya madawati hayo yakiendelea. |
 |
Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Ikungi, Orda Phabiani akizungumza. |
Wanafunzi wakiwa katika hafla hiyo ya kupokea madawati.
No comments:
Post a Comment