HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 18, 2020

DUKA LA MTANDAO WA TIGO LAZINDULIWA GEITA

 Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel (katikati), akikata utepe kuzindua duka la mtandao wa tigo mjini Geita.
Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Robert Gabriel (kulia), akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa, Uthmaan Madati, wakati wa uzinduzi wa duka hilo mjini Geita.

No comments:

Post a Comment

Pages