HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 18, 2020

KATIBU MKUU MSTAAFU WA CHADEMA DKT. VICENT MASHINJI AOMBA KUJIUNGA NA CCM LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM


Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole, akimpongeza aliyekuwa Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Vicent Mashinji, mara baada ya kuomba kujiunga na chama hicho, katika ofisi ndogo za Lumumba jijini Dar es Salaam.
 Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dkt. Vicent Mashinji akizungumza na Wanahabari (hawapo pichani) kuomba kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) mbele ya Katibu wa Itikadi na Uenezi ndugu Humphrey Polepole, Mkutano uliofanyika katika ofisi ndogo za Chama Lumumba Jijini Dar es salaam. Februari 18, 2020.
 Katibu wa Itikadi na Uenezi ndugu Humphurey Polepole akizungumza na Wanahabari (hawapo pichani) kuhusu maombi ya Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dk. Vicent Mashinji kuomba kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM), Mkutano uliofanyika katika ofisi ndogo za Chama Lumumba Jijini Dar es Salaam. Februari 18, 2020.
 Katibu wa Itikadi na Uenezi ndugu Humphurey Polepole akizungumza na Wanahabari (hawapo pichani) kuhusu maombi ya Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dk. Vicent Mashinji kuomba kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM), Mkutano uliofanyika katika ofisi ndogo za Chama Lumumba Jijini Dar es salaam. Februari 18, 2020.
Katibu wa Itikadi na Uenezi ndugu Humphurey Polepole akiwa na Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dkt. Vicent Mashinji aliyeomba kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM), Mkutano uliofanyika katika ofisi ndogo za Chama Lumumba Jijini Dar es salaam. Februari 18, 20202020. (Picha na CCM).

No comments:

Post a Comment

Pages