PMO 5056 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi katika
kijiji cha Kipindimbi wilayani Kilwa wakati alipotembelea maeneo
yaliyoathirika kwa mafuriko katika mkoa wa Lindi, Februari 5, 20-20.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa, akitazama eneo la mto Njinjo katika kijiji cha
Kipindimbi wilayani Kilwa lililoathiriwa mafuriko wakati alipotembelea
maeneo yaliyokumbwa na mafuriko katika mkoa wa Lindi, Februri 5, 2020.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Mjaliwa, akizungumza na wananchi katika kijiji cha
Nambilanje wialyani Ruangwa wakati alipotembelea maeneo yaliyokumbwa na
mafuriko mkoani Lindi kuwapa pole wananchi, Februari 5, 2020. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment