Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Abdulrahaman Kinana (kulia), akiwa ofisini kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula, baada ya kuitikia wito wa kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Usalama na Maadili CCM, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya chama hicho Lumumba, jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Mtandao).
Katibu
Mkuu mstaafu wa CCM, Yusuf Makamba, akiagwa na Katibu Mkuu wa Chama
chama hico, Bashiru Ally, baada ya kuitikia wito wa Kamati Ndogo ya
Usalama na Maadili ya CCM katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya chama
hicho Lumumba, jijini Dar es Salaam. (Picha na Mtandao).
10 Februari, 2020, Dar es Salaam
Makatibu Wakuu Wastaafu wa Chama Cha Mapinduzi
(CCM) Ndg. Yusuf Makamba na Ndg. Abdulrahaman Kinana leo Februari 10, 2020
wamefika katika Ofisi Ndogo za CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam kuitikia wito
wa Kamati Ndogo ya Usalama na Maadili inayoongozwa na Ndg. Philip Mangula.
Makatibu Wakuu hao Ndg. Abdulrahman Kinana na Ndg. Yusuf Makamba wamefika katika Ofisi hizo majira ya mchana na kupokelewa na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Bashiru Ally Kakurwa.
Makatibu Wakuu hao Ndg. Abdulrahman Kinana na Ndg. Yusuf Makamba wamefika katika Ofisi hizo majira ya mchana na kupokelewa na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Bashiru Ally Kakurwa.
(Pichani) Ndg. Abdulrahman Kinana akiwa ofisini kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndg. Philip Mangula baada ya kuitikia wito wa kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Usalama na Maadili ya CCM.
(Pichani) Ndg. Yusuf Makamba akiagwa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Ndg. Bashiru Ally Kakurwa baada ya kuitikia wito wa Kamati Ndogo ya Usalama na Maadili ya CCM.
Imetolewa na,
HUMPHREY POLEPOLE
KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI
CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)
No comments:
Post a Comment