Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Bia Serengeti (SBL), Mark Ocitti (kushoto), na
balozi wa Uingereza, Sarah Cook, wakionja Whisky aina ya John Walker
Blue Label katika hafla maalum ya ‘Whisky Tasting’ iliyoratibiwa na
Serengeti Breweries Limited (SBL) ikilenga kuwapa nasasi wateja na wadau
wengine kuonja ladha ya vinywaji vikali vinavyosambazwa na kampuni hiyo
ikiwamo Johnnie Walker inayotimiza miaka 200 tangu kuanzishwa kwake. Hafla iliyofanyika kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Bia Serengeti (SBL), Mark Ocitti (kushoto),
akichukua whisky aina ya Johnnie Walker Blue Label katika hafla maalum
ya ‘Whisky Tasting’ iliyofanyika katika makazi ya balozi huyo jijini Dar
es Salaam.
Balozi
wa Johnnie Walker Afrika Mashariki, Marcus Kwikiriza, akizungumza
wakati wa hafla maalum ya ‘Whisky Tasting’ iliyofanyika katika makazi ya
balozi wa Uingereza jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Bia Serengeti (SBL), Mark Ocitti, akizungumza
katika hafla maalum ya Whisky Tasting iliyoratibiwa na Serengeti
Breweries Limited (SBL) ikilenga kuwapa nasasi wateja na wadau wengine
kuonja ladha ya vinywaji vikali vinavyosambazwa na kampuni hiyo ikiwemo
Johnnie Walker inayotimiza miaka 200 tangu kuanzishwa kwake.
Hhafla iliyofanyika kwenye makazi ya balozi wa Uingereza jijini Dar es
Salaam.
Balozi
wa Uingereza hapa nchini Sarah Cook, akizungumza katika hafla maalumu
ya kuonja pombe kali aina ya Whisky iliyoratibiwa na Kampuni ya Bia ya
Serengeti Breweries Limited (SBL) ikililenga kuwapa nafasi wateja na
wadau wengine nafasi ya kuzifahamu na kuzionja pombe kali
zinazosambazwa na kampuni hiyo ikiwamo Johnnie Walker inayotimiza miaka
200 tangu kuanzishwa kwake. Hafla iliyofanyika kwenye makazi ya balozi
huyo jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment