HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 30, 2020

MAKAMU WA RAIS MHE SAMIA SULUHU HASSAN AFANYA KIKAO CHA DHARURA CHA HALI YA MAZINGIRA KATIKA MIGODI YOTE NCHINI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania Samia Suluhu Hassan akitoa maelekezo kwa wajumbe wa kikao cha dharura kinachohusu masuala ya Migodi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha dharura kuhusu Masuala ya Migodi nchini kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano,  Mussa Azan Zungu na kulia ni  Waziri wa Madini, Dotto Biteko. Kikao  hicho kilifanyika jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Pages