Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dk. Ayub Rioba ,
anasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi mwenzetu, Marin Hassan Marin
kilichotokea leo asubuhi katika Hospitali ya Jeshi Lugalo, jijini Dar
es Salaam.
Taarifa zaidi zitaendelea kutolewa na uongozi wa TBC.

No comments:
Post a Comment