HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 02, 2020

Rais Magufuli amteua Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Dk. Mwigulu Nchemba
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. John Pombe Magufuli amemteua Dk. Mwigulu Nchemba (Mbunge wa Iramba Magharibi) kuwa Waziri wa Katiba na Sheria.

Uteuzi wa Dk. Mwigulu Lameck Nchemba unaanza leo tarehe 02 Mei, 2020.

Dk. Mwigulu Lameck Nchemba anachukua nafasi ya Balozi Dk. Augustine Philip Mahiga aliyefariki dunia jana tarehe 01 Mei, 2020.

No comments:

Post a Comment

Pages