Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya
Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa, Rais
Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na Mjane wa Baba wa Taifa
Mama Maria Nyerere wakivuta utepe kuashiria uwekaji wa Jiwe la Msingi Ujenzi Ofisi
za Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 30 Mei 2020.
Picha
namba 5. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akikata utepe na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi,
Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt.
Jakaya Kikwete pamoja na Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere kuashiria
uzinduzi wa Mitambo na magari yatakayotumika katika ujenzi wa Ujenzi Ofisi za
Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 30 Mei 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa ameshika Chepe ili kuweka zege na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne
Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa
kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi Ujenzi Ofisi za Ikulu ya Chamwino Mkoani
Dodoma leo tarehe 30 Mei 2020.

Magufuli akizungumza jambo la Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete
mara baada ya kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa Ikulu ya Chamwino.
Waandishi mbalimbali wa Habari wakiwa wameshika chepe ili kuweka zege
kama ishara ya kuweka kumbukumbu kwenye jiwe la msingi Ujenzi Ofisi za Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma leo
tarehe 30 Mei 2020.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na vijana wa JKT wanaojenga Ikulu ya Chamwino.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiangalia bendi ya ya JKT mara baada ya hafla ya uwekaji wa jiwe la
msingi Ujenzi Ofisi za Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 30 Mei 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli pamoja Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais
Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt.
Jakaya Kikwete pamoja na Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere wakisikiliza
maelezo kuhusu ujenzi wa Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.

Magufuli akiwa na Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere wakielekea kwenye
uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa Ofisi za Ikulu. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment