Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Hati ya Makabidhiano
ya zawadi ya Ndege aina ya Tausi 25 kwa Mama Maria Nyerere mjane wa Baba wa
Taifa Mwalimu Julius Nyerere kwa ajili ya kuwafuga katika Makazi yake, hafla
hiyo fupi ilifanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akimkabidhi hati ya Makabidhiano ya ndege aina ya Tausi 25 kwa Rais
Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi kwa ajili ya kuwafuga katika
makazi yake. Hafla ya Makabidhiano hayo imefanyika katika viwanja vya Ikulu ya
Chamwino mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akimkabidhi hati ya Makabidhiano ya ndege aina ya Tausi 25 kwa Rais
Mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamin Mkapa kwa ajili ya kuwafuga katika makazi
yake. Hafla ya Makabidhiano hayo imefanyika katika viwanja vya Ikulu ya
Chamwino mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akimkabidhi hati ya Makabidhiano ya ndege aina ya Tausi 25 kwa Rais
Mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete kwa ajili ya kuwafuga katika makazi
yake. Hafla ya Makabidhiano hayo imefanyika katika viwanja vya Ikulu ya
Chamwino mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi hao Wakuu wastaafu mara baada
ya kuwakabidhi zawadi ya ndege aina ya Tausi.
. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza katika hafla hiyo fupi ya Makabidhiano ya zawadi ya ndege
aina ya Tausi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akimsikiliza Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete wakati
akitoa neno la Shukrani kwa niaba ya Marais wenzake wastaafu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akifurahia jambo na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan
Mwinyi pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete mara baada ya
hafla fupi ya Makabidhiano ya ndege aina ya Tausi katika Ikulu ya Chamwino
mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwasili katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino na Rais Mstaafu wa
Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi, Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere
pamoja na Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamin Mkapa. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment