Mafundi wa Kampuni ya GAS EntecCo Ltd, Kang Nam Cooperation ya Korea Kusini pamoja na SUMA JKT ya Tanzania inayojenga meli ya MV Mwanza, wakiendelea na
kazi ya ujenzi wa meli hiyo, inayojengwa jijini Mwanza.
kazi ya ujenzi wa meli hiyo, inayojengwa jijini Mwanza.
Muonekano wa hatua iliyofikiwa ya sehemu ya chini ya meli Mpya ya MV Mwanza “Hapa Kazi Tu” inayojengwa katika bandari ya Mwanza Kusini, jijini Mwanza. Ujenzi
wa Meli hiyo unatarajiwa kukamilika mapema mwaka 2021 na itagharamu zaidi ya kiasi cha shilingi bilioni 80.
wa Meli hiyo unatarajiwa kukamilika mapema mwaka 2021 na itagharamu zaidi ya kiasi cha shilingi bilioni 80.
Kaimu Mhandisi Mkuu wa Kampuni ya Huduma ya Meli (MSCL), Luteni Kanali Mhandisi Abel Gwanafyo akifafanua jambo kwa Wajumbe wa Menejimenti ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi) na Wataalam wa Sekta hiyo, walipotembelea maendeleo ya ujenzi wa Meli mpya MV Mwanza ‘Hapa Kazi Tu”, Ukarabati wa meli ya MV Butiama, MV Viktoria na Ujenzi wa Chelezo, mkoani Mwanza.
No comments:
Post a Comment