HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 15, 2020

NMB YATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KWA SHULE ZA AWALI ZANZIBAR

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd (kushoto), akishukuru baada ya kupokea msaada wa Mabati 216 na Mbao 333 kwa ajili ya shule tatu za awali, katika jimbo la Kikwajuni -Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Mgaharibi Zanzibar yaliyotolewa na Benki ya NMB.  Kutoka kushoto kwake ni Mbunge wa jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Yusuf Masauni, katikati ni Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa Benki ya NMB, Filbert Mponzi na kulia ni Maofisa wa Benki hiyo.

No comments:

Post a Comment

Pages