HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 07, 2020

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI ASALI MISA YA SIKUKUU YA UTATU MTAKATIFU KATIKA PAROKIA YA MTAKATIFU BIKIRA MARIA IMACULATA CHAMWINO IKULU LEO TAREHE 7 JUNI 2020

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amejumuika na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Bikira Maria Imaculata Chamwino katika Misa ya Jumapili ya Sikukuu ya Utatu Mtakatifu leo tarehe 7 Juni 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli, akizungumza na Waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Bikira Maria Imaculata Chamwino Ikulu mkoani Dodoma leo tarehe 7 Juni 2020.

No comments:

Post a Comment

Pages