HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

June 28, 2020

RAIS MAGUFULI AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI WA KIBAMBA-KISARAWE MKOANI PWANI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarawa ili kuzindua mradi mkubwa wa maji wa Kibamba-Kisarawe katika sherehe zilizofanyika Wilayani Kisarawe Mkoani Pwani leo tarehe 28 Juni 2020.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akivuta utepe pamoja na Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarawa ili kuzindua
mradi mkubwa wa maji wa Kibamba-Kisarawe katika sherehe zilizofanyika Wilayani
Kisarawe Mkoani Pwani leo tarehe 28 Juni 2020.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifungua maji kwenye eneo la mradi wa Kibamba -Kisarawe mkoani Pwani mara baada ya kuzindua mradi huo mkubwa.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akishika maji ya bomba mara baada ya kuzindua mradi mkubwa wa Maji wa
Kibamba-Kisarawe mkoani Pwani.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifungua bomba kwa pamoja na viongozi mbalimbali wakiwemo Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarawa, Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo, Naibu Waziri wa Maji Jumaa Aweso, Mtendaji Mkuu wa Dawasa Eng. Cyprian Luhemeja, Mwenyekiti wa
Bodi ya Dawasa Jenerali Mstaafu Davis Mwamunyange.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakati wakimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Dawasa Eng. Cyprian Luhemeja wakati alipokuwa akitoa maelezo ya miradi mbalimbali ya Maji katika mkoa wa Dar es Salaam na Kisarawe mkoani Pwani. PICHA NA
IKULU.

No comments:

Post a Comment

Pages