HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 06, 2020

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA AKINA MAMA WA CHAMWINO


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakina Mama wa Dayosisi ya Central Tanganyika walipokuwa kwenye Kongamano la Kujadili Umoja wa vikundi vyao Chamwino mkoani Dodoma wakati akitokea katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM White House jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Pages