HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 02, 2020

SIMBA MABINGWA KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM 2020

Luis Miquissone amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam uliofanyika kwenye Uwanja wa Nelson Mandela mkoani Rukwa. (Picha na Simba SC).
Mchezaji Bora wa Kombe la Shirikisho la Azam 2020 ni Clatous Chota Chama (Triple C) kutoka kwa Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mchezo wa fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam.

No comments:

Post a Comment

Pages