HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 03, 2020

UTT AMIS YAVUTIA WENGI MAONESHO YA NANENANE 2020 MKOANI SIMIYU

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji, Angellah Kairuki, akipata maelezo kutoka kwa Ofisa Masoko na Uhusiano Mkuu wa UTT AMIS, Martha Mashiku, kuhusu mifuko ya uwekezaji wa pamoja wakati alipotembelea banda la UTT AMIS  kwenye maonesho ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya Nyakabindi nje kidogo ya mji wa Bariadi mkoani Simiyu leo Agosti 3, 2020.


Ofisa Masoko na Uhusiano Mkuu wa UTT AMIS, Martha Mashiku, akitoa maelezo kwa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji, Angellah Kairuki.

Baadhi ya wananchi waliofika katika banda la UTT AMIS wakipata maelezo kuhusu mifuko ya uwekezaji wa pamoja wakati alipotembelea banda la UTT AMIS  kwenye maonesho ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya Nyakabindi nje kidogo ya mji wa Bariadi mkoani Simiyu leo Agosti 3, 2020.
Ofisa Masoko na Uhusiano Mkuu wa UTT AMIS, Martha Mashiku, akizungumza na waandishi wa habari juu ya mifuko ya uwekezaji wa pamoja wakati alipotembelea banda la UTT AMIS.  kwenye maonesho ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya Nyakabindi nje kidogo ya mji wa Bariadi mkoani Simiyu leo Agosti 3, 2020.

Wananchi waliofika katika banda la UTT AMIS wakipata vipeperushi vyenye taarifa za kuhusu mifuko ya uwekezaji wa pamoja.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji, Angellah Kairuki, akiwa katika picha ya pamoja viongozi pamoja na washiriki wa maonesho ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya Nyakabindi nje kidogo ya mji wa Bariadi mkoani Simiyu leo Agosti 3, 2020.

No comments:

Post a Comment

Pages