Leo Kamanda wa Polisi mkoa wa Iringa ameongoza mazoezi ya utayari kwa vikosi vyote vya Ulinzi na Usalama. Lengo ni kujiweka tayari kwa uchaguzi Mkuu. Nimewatumia picha kadhaa.
Kamanda
wa Polisi Mkoa wa Iringa, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Juma Bwire
(kulia), akiongoza vikosi vya Ulinzi na Usalama katika
mazoezi ya utayari kuelekea katika Uchaguzi Mkuu.
Askari
wa majeshi mbalimbali ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa wa Iringa wakiwa
kwenye mazoezi ya utayari kuelekea katika Uchaguzi Mkuu. (Picha na Datus
Mahendeka wa Jeshi la Polisi).
No comments:
Post a Comment