HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

October 11, 2020

KAMPENI ZA CHADEMA IRINGA MJINI

Msafara wa mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalim, ukielekea katika eneo Kihesa Sokoni kwa ajili ya mkutano wa kampeni.
Msafara ukiwasili katika viwanja vya Kihesa Sokoni.
Ulinzi ukiwa umeimarishwa.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania, Askofu Emmaus Mwamakula akiongoza maombi kambla ya kuanza kwa mkutano wa kampeni za mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalim uliofanyika katika Kata ya Idodi jimbo la Ismani mkoani Iringa.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalim, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika Kata ya Kihesa jimbo la Iringa Mjini. 
Wakazi wa Kata ya Kihesa wakiwa katika mkutano wa kampeni.
Wakazi wa Kata ya Kihesa wakisikiliza kwa makini sera za mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalim.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalim, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika Kata ya Kihesa jimbo la Iringa Mjini.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalim, akiwanadi wagombea udiwani katika jimbo la Iringa Mjini.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalim, akimnadi mgombea ubunge jimbo la Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa.
Tunakuelewa mgombea......
Mgombea ubunge jimbo la Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa, akizungumza na wakazi wa Kata ya Kihesa wakati wa mkutano wa kampeni za mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalim alipohutubia eneo Kihesa Sokoni mkoani Iringa.
 
Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania, Askofu Emmaus Mwamakula akiongoza maombi kambla ya kuanza kwa mkutano wa kampeni za mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalim uliofanyika katika Kata ya Idodi jimbo la Ismani mkoani Iringa. 
Mgombea ubunge jimbo la Isimani Patrick Ole Sosopi (kushoto) akibadilishana mawazo na viongozi wa CHADEMA.
Wakazi wa Kata ya Idodi wakisikiliza sera za mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe Salum Mwalim.
Wakazi wa Kata ya Idodi wakisikiliza sera za mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe Salum Mwalim.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe Salum Mwalim, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika Kata ya Idodi jimbo la Ismani mkoani Iringa.

No comments:

Post a Comment

Pages