Mgombea
Mwenza wa Kiti cha Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalim,
akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika Kata ya Kongoro jimbo
la Mbarali mkoani Mbeya.
Mgombea Mwenza Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalim, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika Kata ya Urembo jimbo la Makete mkoani Njombe.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalim, akiagana na wakazi wa Kata ya Kongoro waliohudhuria mkutano wa kampeni jimbo la Mbarali.
No comments:
Post a Comment