Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Kinyerezi Wilayani Ilala katika muendelezo wa mikutano ya Kampeni za CCM zilizofanyika katika uwanja wa Kinyerezi jijini Dar es Salaam.

Sehemu ya Wananchi wa Kinyerezi mkoani Dar es Salaamwakishangilia wakati Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati akinadi sera za CCM leo tarehe 12 Oktoba, 2020.
Sehemu ya Wananchi wa Kinyerezi mkoani Dar es Salaamwakishangilia.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo mara baada ya kuwasili Kinyerezi kwa ajili ya kuwahutubia wananchi leo tarehe 12 Oktoba, 2020 jijini Dar es Salaam.Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM,
Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia Wanachama wa CCM baada ya mkutano wa Kampeni Kinyerezi leo tarehe 12 Oktoba, 2020 jijini Dar es Salaam.
Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia Wanachama wa CCM baada ya mkutano wa Kampeni Kinyerezi leo tarehe 12 Oktoba, 2020 jijini Dar es Salaam.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akicheza mziki wa Singeli na Msanii Dulla Makabila kabla ya kuwahutubia wananchi wa Kinyerezi leo tarehe 12 Oktoba, 2020 jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment