HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 13, 2020

MGOMBEA MWENZA CHADEMA AHUTUBIA MIKUTANO YA KAMPENI MKOANI RUKWA


Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalim, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Ulumi jimbo la Kalambo mkoani Rukwa.
Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Rukwa, Grace Shio, akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika Kijiji cha Ulumi jimbo la Kalambo mkoani Rukwa leo Oktoba 13, 2020.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalim, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika Kijiji cha Ulumi jimbo la Kalambo mkoani Rukwa leo Oktoba 13, 2020.
Wananchi wakishangilia wakati mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalim, akihutubia mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Ulumi jimbo la Kalambo mkoani Rukwa leo Oktoba 13, 2020.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalim, akiwanadi wagombea udiwani jimbo la Kalambo mkoani Rukwa leo Oktoba 13, 2020.
Wananchi wakishangilia wakati mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalim, akihutubia mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Ulumi jimbo la Kalambo mkoani Rukwa leo Oktoba 13, 2020.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalim, akiwapungia wananchi wa Kijiji cha Ulumi jimbo la Kalambo mkoani Rukwa leo Oktoba 13, 2020 baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalim, akisalimia wananchi wa Kijiji cha Ilandila jimbo la Kalambo mkoani Rukwa leo Oktoba 13, 2020.

No comments:

Post a Comment

Pages