Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Stanbic, Kevin Wingfield akihutubia wakati
wa hafla ya tuzo za Financial Women awards iliyofanyika Mlimani City,
jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Benki ya Stanbic ni miongoni mwa
wadhamini wa tuzo hizo zilizolenga kutambua mchango wa wanawake kwenye
sekta ya kifedha.
Mkurugenzi Mkuu wa benki ya Stanbic, Kevin Wingfield akiwa katika picha
ya pamoja na wafanyakazi wa benki hiyo katika hafla ya tuzo za
Financial Women iliyofanyika Mlimani City, jijini Dar es Salaam hivi
karibuni. Benki ya Stanbic ni miongoni mwa wadhamini wa tuzo hizo
zilizolenga kutambua mchango wa wanawake kwenye sekta ya kifedha. Wapili
kushoto ni Mkuu wa Masoko wa Stanbic, Desideria Mwegelo.
No comments:
Post a Comment