Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Vijana, Zaituni Manoro, akitoa elimu ya kifedha kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Kinyerezi Mpya jijini Dar es Salaam kabla uongozi wa Benki ya CRDB kukabidhi taulo za kike kwa wanafunzi hao.
Adelina Mushi kutoka Idara ya Rasilimaliwatu Benki ya CRDB akitoa elimu ya kifedha kwa wanafunzi hao.Penina Thomas akijibu swali.
Salma Omari akipokea zawadi kutoka Benki ya CRDB.Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Migombani, Anna Laurent, akiuliza swali.
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Kinyerezi, Mary Joshua (kushoto), akiwa na maofisa wa benki hiyo wakati wa hafla ya kukabidhi taulo za kike kwa wanafunzi.
Wanafunzi wakifuatili mada zilizokuwa zikitolewa.
Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano ya Wafanyakazi Kazini Benki ya CRDB, Timothy Fasha, akimkabidhi Mkuu wa Shulre ya Sekondari Kinyerezi Mpya, Happiness Pallangyo, sehemu ya msaada wa taulo za kike zilizotolewa na Benki ya CRDB kwa ajili ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kinyerezi Mpya iliyopo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Kinyerezi, Mary Joshua na wa pili kushoto ni Diwani wa Kinyerezi, Leah Mgitu.
Diwani wa Kinyerezi Leah Mgitu akikabidhi taulo ya kike kwa mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kinyerezi. Taulo hizo zimetolewa na zilizotolewa kama msaada na Benki ya CRDB. Mkuu wa Shulre ya Sekondari Kinyerezi Mpya, Happiness Pallangyo, akitoa hotuba yake wakati wa hafla ya kukabidhi taulo za kike kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kinyerezi Mpya jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala katika hafla ya kukabidhi taulo za kike kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kinyerezi Mpya, Tabu Shaibu, akizungumza katika hafla hiyo.
Mkuu wa Kitengo
cha Mahusiano ya Wafanyakazi Kazini Benki ya CRDB, Timothy Fasha,
akizungumza katika hafala ya benki hiyo kukabidhi taulo za kike kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kinyerezi Mpya
jijini Dar es Salaam.Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB na wanafunzi wakiwa katika hafla ya kukabidhi taulo za kike.
Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano ya Wafanyakazi Kazini Benki ya CRDB, Timothy Fasha, akimkabidhi Mkuu wa Shulre ya Sekondari Kinyerezi Mpya, Happiness Pallangyo, sehemu ya msaada wa taulo za kike zilizotolewa na Benki ya CRDB kwa ajili ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kinyerezi Mpya iliyopo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Kinyerezi, Mary Joshua na wa pili kushoto ni Diwani wa Kinyerezi, Leah Mgitu.
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Kinyerezi, Mary Joshua akimkabidhi mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kinyerezi, Rose Robert, wakati wa hafla ya kukabidhi taulo za kike kwa wanafunzi wa shule ya Kinyerezi Mpya jijini Dar es Salaam.
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kinyerezi Mpya wakicheza na kuimba na Adelina Mushi kutoka Idara yua Rasilimaliwatu Benki ya CRDB.
No comments:
Post a Comment