Kamishna wa Idara ya Maendeleo ya Sekta ya Fedha Wizara ya Fedha Dkt.
Charles Mwamwaja, akimkabidhi Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof.
Lughano Kusiluka, tuzo ya mshindi wa kwanza kwa upande wa taasisi za
elimu ya juu ya uwasilishaji bora wa hesabu kwa mwaka 2018/2019 kwa
kutumia viwango vya kimataifa vya kutayarisha hesabu za Taasisi za Umma
zilizotolewa na NBAA.

zilizotolewa na NBAA. Kulia ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo-Utawala na Fedha, Prof. Ernest Kihanga na CPA Mwanjaa Lyezia Mkurugenzi wa Fedha Chuo Kikuu Mzumbe.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka, akipongezwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Prof. Isaya Jairo.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof.
Lughano Kusiluka, akiwa na tuzo ya mshindi wa Kwanza ya uwasilishaji bora wa hesabu kwa mwaka 2018/2019 kwa
kutumia viwango vya kimataifa vya kutayarisha hesabu za Taasisi za Umma iliyotolewa na NBAA. Kulia ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo-Utawala na
Fedha, Prof. Ernest Kihanga, wa pili kushoto ni CPA Mwanjaa Lyezia Mkurugenzi wa Fedha
Chuo Kikuu Mzumbe na wa tatu kushoto ni CPA Jensen Mdoe-Mhasibu, Taarifa za Fedha na Bajeti.
No comments:
Post a Comment