Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB -
Ruth Zaipuna, alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya mazungumzo na kumpongeza akiwa na
Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara Benki ya NMB - Filbert Mponzi(kati), Afisa Mkuu wa Wateja Wakubwa Benki ya NMB - Alfred Shao
na Mkuu wa Biashara Zanzibar wa Benki ya NMB – Abdalla Duchi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB -
Ruth Zaipuna, alipokuwa akielezea namna Benki ya NMB imejipanga
kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar kukuza uchumi na kuisaidia jamii, alipowasili katika ukumbi wa
Ikulu Jijini Zanzibar. Waliongozana na Bi. Ruth ni
Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara Benki ya NMB - Filbert Mponzi(kati) na Afisa Mkuu wa Wateja Wakubwa Benki ya NMB - Alfred Shao.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Hussein Ali Mwinyi
akikabidhiwa Kadi yake ya NMB Mastacard World Debit
na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB -
Ruth Zaipuna, baada ya kumaliza mazungumzo yao katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na kadi ya
yake ya NMB Mastacard World Debit, aliyokabidhiwa
na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB -
Ruth Zaipuna, baada ya kumaliza mazungumzo yao katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment