HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 05, 2021

MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA MBINGA- MBAMBA BAY NA KUZINDUA SAFARI YA MELI YA MV MBEYA II

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  wafanyakazi wa Kampuni ya Ujenzi ya Kichina ya CHICO baada ya kukagua ujenzi wa barabara ya Mbinga -Mbamba Bay Mkoani Ruvuma, Januari  5, 2021. Kampuni hiyo imejenga barabara hiyo kwa gharama ya sh.bilioni 129.361. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Meli ya MV Mbeya II kweye bandari ya Mbamba Bay wilayani Nyasa, Januari 5, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa meli ya MV Mbeya II baada ya kuzindua meli hiyo kwenye bandari ya Mbamba Bay wilayani Nyasa, Januari 5, 2021. Waliokaa pichani kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Songoro Marine, Bw. Songoro,  Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya,  Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania, Deusdedit Kakoko,  Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa na kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Ruvuma, Odo Mwisho

No comments:

Post a Comment

Pages