HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 04, 2021

NMB YATOA MSAADA WA MADAWATI SINGIDA

Meneja Mahusino Serikalini  Benki ya NMB Kanda ya Kati, Peter Masawe (kushoto), akimkabidhi msaada wa madawati Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk. Rehema Nchimbi (wa pili kulia), NMB ilikabidhi madawati 100 kwa ajili ya shule mbili za Wilaya ya Mkalama mkoani Singida wenye thamani ya Sh. Mil. 10, shule hizo ni shule ya Msingi Msingi na Ndala. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Mkalama, Mhandisi Jackson Masaka.
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Rehema Nchimbi (kulia) akikabidhi vikundi vya akinamama na vijana mfano wa hundi ya sh milioni 91 zilizotolewa na Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama Mkoani Singida kwa ajili ya vikundi vya Akinamama,vijana na wenye ulemavu, makabidhiano hayo yalifanyika jana kwenye Ofisi za Halmashauri hiyo, Kushoto ni Mbunge wa Jimbo Iramba Mashariki, Francis  Isack.

No comments:

Post a Comment

Pages