HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 07, 2021

SIMBA YATINGA HATUA YA MAKUNDI, YAICHAPA FC PLATINUM 4-0

Kiungo mshambuliaji  wa Simba Clatous Chama,akitafuta mbinu zakuwatoka wachezaji FC Platinum kwenye mechi ya mkondo wa pili wa Ligi ya Mabingwa mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam leo.

 
Beki wa Simba Mohamed Hussein,akimtoka mchezaji  Tshabalah, FC Platinum kwenye mechi ya mkondo wa pili wa Ligi ya Mabingwa mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam leo.

 Kiungo wa Simba Larry Bwalya, akitafuta mbinu zakuwatoka wachezaji FC Platinum kwenye mechi ya mkondo wa pili wa Ligi ya Mabingwa mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment

Pages