Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB, Ndg. Ruth Zaipuna alipomtembelea leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kushoto) akifurahi jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB, Ndg. Ruth Zaipuna alipomtembelea leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Wageni wengine ni watendaji kutoka Benki hiyo.
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (watatu kushoto) katika picha ya pamoja na Watendaji wa Benki ya NMB wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Benki hiyo, Ruth Zaipuna (wa tatu kulia) walipomtembelea leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment