Afisa Mwendeshaji wa Benki ya CRDB, Bruce Mwile, akizungumza katika mdaharo wa pamoja kati Vodacom na benki hiyo ukiangazia namna ambavyo uchumi kidigitali utaboreshwa ili kuwanufaisha wananchi, iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Mkuu wa Kitengo cha Mabadiliko Endelevu ya Biashara Benki ya CRDB, Winniefrida Wanyacha, akizungumza katika mdaharo wa pamoja kati Vodacom na benki hiyo ukiangazia namna ambavyo uchumi kidigitali utaboreshwa ili kuwanufaisha wananchi, iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment