HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 25, 2021

Benki ya Biashara yakabidhi mabati Gereza la Masasi


 

 Mkurugenzi Mtneaji wa Benki ya (TCB), Sabasaba Moshingi akikabidhi mabati200 yenye thamani ya Sh milioni 7.8 kwa mbunge wa Masasi ambaye pia ni Waziri wa Uwekezaji Geofry Mwambe, mabati hayo ni kwa ajili ya kuezekea Hospitali ya Gereza la Masasi inayojkengwa kwa nguvu ya Gereza hilo na ufadhili wa Benki hiyo. Hafla hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki. (Na Mpiga Picha Wetu).
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji Geofry Mwambe, akisalimiana na baadhi ya maofisi wa Jeshi la Magereza baada ya kuwasili katika ereza la Masasi kwa ajili ya kupokea msaada wa mabati kutoka benki ya Biashara Tanzania (TCB)uliofanyika mwishoni mwa wiki. Nyumba yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Sabasaba Moshingi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji, Geofry Mwambe na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya (TCB), Sabasaba Moshingi, wakitoka kukagua mandeleo ya ujenzi wa Hopsitali ya Gereza hilo baada ya kukabidhiana msaada wa mabati kwa ajili ya kuezekea katika hafla iliyofanyika katika eneo la Gereza la Masasi mwishoni mwa wiki.

No comments:

Post a Comment

Pages