HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

July 24, 2021

Makamu wa Rais ashiriki misa ya kumbukizi ya hayati Benjamin Mkapa-Lupaso

Makamu wa Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango  akiwasili kijijini Lupaso Wilaya ya Masasi kushiriki misa  ya kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha Hayati Benjamin Mkapa, Julai 24, 2021. (Picha na VPO).
Makamu wa Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango  pamoja na Mkewe mama Mbonimpawe Mpango wakiweka shada la maua katika kaburi la Hayati Benjamin Mkapa, kijijini Lupaso wilayani Masasi, Julai 24,2021.
Makamu wa Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango  akizungumza na waumini waliohudhuria misa ya kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha Hayati Benjamin Mkapa iliofanyika katika Kijiji cha Lupaso Wilaya ya Masasi, Julai 24,2021.

No comments:

Post a Comment

Pages