HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 25, 2021

Mzumbe Dar Campus warudisha kwa jamii

Chuo Kikuu Mzumbe Dar Campus kimeendelea kuweka katika vitendo kauli mbiu yake ya Jifunze kwa Maendeleo ya Watu. Baada ya mafunzo ya ujasiriamali Machinga Complex tarehe 17 Julai 2021 , wanafunzi wa MBA wamewafuata na kuwafundisha wajasiriamali walio jirani na Chuo Kikuu Mzumbe eneo la Tegeta tarehe 24 Julai 2021. Mafunzo yalihusu ubunifu katika biashara.


Wanafunzi wa Mzumbe Dar Campus wakimfundisha mjasiriamali wa kusuka.

Wanafunzi wakiwa na mfanyabiashara wa stationary.
Wanafunzi wakiwa na Mama Lishe.

No comments:

Post a Comment

Pages